TUZO ZA MUSIC TANZANIA (TMA) 2024
CATEGORIES
MWANAMUZIKI BORA WA KIUME WA MWAKA
- 1. Marioo
- 2. Diamond Platnumz
- 3. Harmonize
- 4. Alikiba
- 5. Jay Melody
MWIMBAJI BORA WA KIUME WA BONGO FLAVA WA MWAKA
- 1. Marioo - Love Song
- 2. Alikiba - Mahaba
- 3. Jay Melody - Sawa
- 4. Diamond Platnumz - Yatapita
MWIMBAJI BORA WA KIKE WA BONGO FLAVA WA MWAKA
- 1. Zuchu
- 2. Appy
- 3. Phina
- 4. Anjella
- 5. Nandy
MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MWAKA
- 1. Phina - Do Salale
- 2. Abigail Chams - Milele
- 3. Zuchu - Nani Remix
- 4. Da Princess - Lolo
MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME WA MWAKA
- 1. Diamond Platnumz - Shuu
- 2. Alikiba - Sumu
- 3. Harmonize - Single Again
- 4. Christian Bella - Tamu
- 5. Mbosso - Sele
ALBAMU BORA YA MWAKA
- 1. Harmonize - Visit Bongo
- 2. D Voice - Swahili Kid
- 3. Abigail Chams - 5
- 4. Navy Kenzo - Mostly People Want This
- 5. Rayvanny - FLowers III
MTUNZI BORA WA MUZIKI WA TAARABU WA MWAKA
- 1. Bob Rama - Thania Msomali
- 2. Father Mauji - Umenibamba
- 3. Thabit Abdul - DSM Sweetheart
- 4. Kisaka - Babu Juha
- 5. Mfalme Mzee Yususfu - Sina Wema
MTOZI (PRODUCER) BORA WA MUZIKI WA BONGO FLEVA WA MWAKA
- 1. S2Kizzy
- 2. Ibra Jacko
- 3. Trone
- 4. Aloneym
- 5. Mr LG
MWIMBAJI BORA WA TAARABU WA MWAKA
- 1. Malkia Leyla Rashid
- 2. Amina Kidevu
- 3. MWinyiMkuu
- 4. Mwansiti Mbwana
- 5. Salha
WIMBO BORA WA TAARABU WA MWAKA
- 1. Malkia Leyla Rashid - Watu Na Viatu
- 2. Amina Kidevu - Hatuachani
- 3. MWinyiMkuu - Bila Yeye Sijiwezi
- 4. Mwansiti Mbwana - Sina Wema
- 5. Salha - DSM Sweetheart
DJ BORA WA MWAKA
- 1. Dj D Ommy
- 2. Dj Seven Worldwide
- 3. Dj Shana Mnyamwezi
- 2. Dj Ally B
- 3. Dj Mamie
WIMBO BORA WA SINGELI WA MWAKA
- 1. Dulla Makabila - Nije Ama Nisije
- 2. Rayvanny Ft Miso Misondo - Kitu Kizito
- 3. Dogo Elisha - Mr Dj
- 4. Mchina Mweusi - Nikiacha Kama Nimeachwa
- 5. Hemedi Kiduku - Karibu Tanzania
WIMBO BORA WA ASILI WA MWAKA
- 1. Sinaubi Zawose - Pesa
- 2. Erica Lulakwa - Aragoba
- 3. Waza Music Band - Muziki Hauna Mwenyewe
- 4. Man Fongo & Nyati Group - Sauti Ya Kumoyo
MTUNZI BORA WA MUZIKI WA DANSI WA MWAKA
- 1. Christian Bella - Tamu
- 2. Dad One Touch - Sidhani
- 3. Masters Keys - Nyoka
- 4. Erasto Machine - Hellena
MWANDISHI BORA WA MWAKA
- 1. Dulla Makabila
- 2. Mbosso
- 3. Jay Melody
- 4. Marioo
- 5. Thabiti Abdul
MWANAMUZIKI BORA WA DANCEHALL WA MWAKA
- 1. Dj Davizo
- 2. Bayo The Great
- 3. Baddest 47
- 4. Appy
- 5. Hery Sasii
- 6. Saad Mrope
WIMBO BORA WA DANCEHALL WA MWAKA
- 1. Dj Davizo - Tinga A Ling
- 2. Bayo The Great - Nampenda
- 3. Baddest 47
- 4. Appy - Hater
- 5. Planner - You
MWIMBAJI BORA WA SINGELI WA MWAKA
- 1. D Voice
- 2. Dogo Elisha
- 3. Dulla Makabila
- 4. Lamona
- 5. Mchina Mweusi
MWANAMUZIKI BORA CHIPUKIZI WA MWAKA
- 1. Appy
- 2. China Kidd
- 3. Mocco Denius
- 4. Yammi
- 5. Xouh
MWONGOZAJI BORA WA VIDEO YA MUZIKI WA MWAKA
- 1. Director Wayan
- 2. Hanscana
- 3. Folex
- 4. Ivan
- 5. Nicklass
WIMBO BORA WA REGGAR WA MWAKA
- 1. Dimateo Zion - Rhymes Tonight
- 2. Mr Kamanzi - Give And Thanks
- 3. Paul Mihambo - Salamu Zako
- 4. Warriors From The East - Wewe
MWANAMUZIKI BORA WA REGGAR WA MWAKA
- 1. Dipper Rato
- 2. AkiliMali
- 3. Dimateo Zion
- 4. Warriors From The East
- 5. Ras Nono
WIMBO BORA WA HIPHOP WA MWAKA
- 1. Rapcha - Uongo
- 2. Country Wizzy - Current Situation
- 3. Young Lunya - Stupid
- 4. Stamina Ft Bushoke - Machozi
- 5. Joh Makini - Bobea
MWIMBAJI BORA WA HIPHOP
- 1. Kontawa
- 2. Rosa Ree
- 3. Stamina
- 4. Young Lunya
- 5. Joh Makini
MTOZI (PDOUCER) BORA WA HIPHOP WA MWAKA
- 1. Black Beats
- 2. Dupy Beatz
- 3. OmmyDady
- 4. Ringle Beats
- 5. Skizzy
WIMBO BORA WA DANSI WA MWAKA
- 1. Diamond Platnumz Ft Koffie Olomide - Achii
- 2. Malaika Band - Kanivuruga
- 3. Melody Mbassa - Nyoka
- 4. Sikinde Original - Tonge La MWisho
- 5. Twanga Pepeta - Mmbea
MWIMBAJI BORA WA MUZIKI WA DANSI WA MWAKA
- 1. Charlz Baba
- 2. Christian Bella
- 3. Melody Mbassa
- 4. Pappi Kocha
- 5. Sarah Masauti
TANZANIA GLOBAL ICONS AWARD
- 1. Mbwana Samatta
- 2. Flaviana Matata
- 3. Clara Luvanga
- 4. Anisa Mpungwe
- 5. Ramadhani Brothers
MWANAMUZIKI BORA WA WIMBO WA ASILI
- 1. Nyati Group
- 2. Elizabeth Maliganya
- 3. Wamwinduka Band
- 4. Sinaubi Zawose
- 5. Erica Lulakwa